Mtafiti akosoa meli zinazotoa huduma Ziwa Tanganyika hazikidhi viwango

Your browser doesn’t support HTML5

Mtafiti wa masuala ya usafiri wa majini Afrika Mashariki akosoa aina ya meli zinazoletwa kutoa huduma Ziwa Tanganyika akieleza hazikidhi viwango kuweza kukabiliana na upepo mkali unaojitokeza mara kwa mara katika eneo la ziwa ambapo husababisha ajali nyingi kwa vyombo vya usafiri.