Mtaalam wa mapafu aeleza sababu zilizopelekea kifo cha Floyd

Your browser doesn’t support HTML5

Mtaalam wa mapafu aeleza mahakama Marekani kuwa shinikizo la goti la askari polisi wa zamani lililokandamiza shingo ya George Floyd lilisababisha akose hewa ya kutosha ya oxygen iliyopelekea kifo chake.