Mtaalam wa afya aeleza maambukizi ya HIV yanatisha

Your browser doesn’t support HTML5

Takwimu za HIV kote duniani zinaonyesha kuwa maambukizo yanaongezeka. Kote ulimwenguni watu millioni 1.5 wameambukizwa HIV mwaka jana.