Mtaalam: Jitihada za kubadili mfumo dume zimechangia kubadili hali ya mambo Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Uchambuzi: Jitihada za kuendeleza makubaliano ya Maputo 2003, yakitaka wanawake kupata fursa za uongozi, pamoja na uwakilishi bora na ushiriki katika ngazi zote za maamuzi zinaendelea Afrika, lakini hazikufikia kiwango kinachotarajiwa...