Mtaalam aeleza nguvu kupita kiasi zilitumika dhidi ya Floyd

Your browser doesn’t support HTML5

Katika siku ya nane ya kesi ya mauaji inayomkabili afisa wa polisi wa zamani Marekani, mtaalam anayehusika na matumizi ya nguvu atoa ushahidi nguvu alizotumia afisa huyo dhidi ya George Floyd ambaye alifariki dunia kukandamiza shingo yake zilipita kiasi.