Mswaada wa huduma namba Kenya uko tayari kuwasilishwa kwa wananchi

Your browser doesn’t support HTML5

Kamati ya Bunge la Kenya kuhusu usalama imekamilisha vikao vya kupiga msasa mswaada wa huduma namba ili kutoa nafasi kwa wananchi kuujadili na kutoa maoni yao.