Mswaada wa ahueni wa COVID-19 kuwasilishwa Baraza la Seneti

Your browser doesn’t support HTML5

Mpango wa mswaada wa Rais wa Marekani wa dola trilioni 1.9 kwa ajili ya ahueni ya ugonjwa wa COVID-19 waelekea Baraza la Seneti baada ya kupitishwa na Baraza la Wawakilishi.