Msumbiji : Mtoto wa Rais wa zamani akabiliwa na kesi ya miradi haramu

Your browser doesn’t support HTML5

Ndambi Guebuza ameshutumiwa kupokea dola milioni 33 kutoka kampuni ya Privinvest ​ ili kumshawishi baba yake, Armando Guebuza, ambaye alikuwa Rais kupitisha miradi haramu ya Baharini.