Mshukiwa wa mauaji ya polisi apatikana akiwa amefariki

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa Gerald Darmanin amesema Jumatano kwamba mtu anaye tuhumiwa kuwaua maafisa watatu wa polisi katika kijiji kimoja katikati ya nchi amepatikana akiwa amefariki.