Mshindi wa medali ya dhahabu ya Olimpiki ashiriki katika maonyesho ya mavazi New York

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanariadha aliyeshinda medali ya dhahabu ya Olimpiki Usain Bolt aligeukia kwenye mitindo wiki hii akishiriki katika onyesho la mavazi la Puma mjini New York.