Msanii mchekeshaji maarufu Chipukizi asaidia kuibua vipaji Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Msanii wa Kenya maarufu kama Chipukizi atembelea Marekani kufanya maonyesho katika majimbo mbalimbali aelezea mafanikio yake ya kuinua vipaji nchini mwake na kuwatahadharisha vijana na mihadharati.