Msafara wa UN washambuliwa DRC, Balozi wa Italia auawa

Your browser doesn’t support HTML5

Balozi wa Italia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ameuawa baada ya msafara wa Umoja wa Mataifa kushambuliwa na waasi.