Matukio ya Dunia Polisi waripotiwa kupiga msafara wa Tundu Lissu mabomu ya machozi 28 Septemba, 2020 Your browser doesn’t support HTML5 Msafara wa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema Tundu Lissu waripotiwa kupigwa mabomu ya machozi Mkoani Mara.