Balozi Augustine Mahiga azungumzia msaada uliositishwa na bodi ya MCC, Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Balozi Augustine Mahiga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu msaada uliositishwa na bodi ya MCC kutokana na kasoro mbalimbali zilizojitokeza kwenye uchaguzi mkuu wa Zanzibar.