Ungana na mwandishi wetu anaeleza kuhusu kujiunga kwa kijana huyu na programu inayojulikana kama Dunk ni programu ya michezo ya elimu mashuleni ambayo inawahitaji wanafunzi kupata matokeo mazuri. Kijana huyu ameshinda ufadhili kumwezesha kuendelea na masomo yake. Endelea kusikiliza jinsi programu hii inavyowasaidia vijana.
Mpira wa Kikapu: Programu ya Dunk yasaidia kukuza vipaji Ghana
Your browser doesn’t support HTML5
Kijana mjini Accra, Ghana ambaye anaamini ujuzi wake wa mpira wa kikapu unaweza kumsaidia kufikia ndoto yake ya kuwa afisa wa forodha.