Mpango wa serikali kulipa fidia wasanii wa Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Tanzania imeamua kutambua kazi za sanaa na hivyo wasanii wameanza kulipwa kutokana na kazi zao, wakati tayari baadhi ya wasanii wameanza kulipwa fidia ya kazi zao.

Baada ya malalamiko ya muda mrefu, hatimaye serikali ya Tanzania ina mkakati wa kulipa wasanii wake. Haya na mengine utayapata ndani ya ZJ wiki hii.