Mpalestina aachiliwa kutoka jela, apokelewa katika jamii yake kishujaa

Your browser doesn’t support HTML5

Mmoja wa wafungwa wa Palestina aliyetumikia kifungo kirefu zaidi nchini Israeli ameachiliwa Alhamisi kutoka jela baada ya kukamilisha kifungo. Sikiliza ripoti hii kamili kuhusu sababu zilizopelekea Yunus kufungwa na vipi jamii yake ya Wapalestina ilivyompokea baada ya kurejea nyumbani.