Morocco yapata nguvu kuendeleza vita ya ardhi Sahara Magharibi

Your browser doesn’t support HTML5

Ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Sahara Magharibi, inawapa nguvu Morocco.kuendeleza vita ya ardhi inayogombania na wapiganaji wa Polisario.