Morocco yailetea fahari Afrika na Mataifa ya Kiarabu

Your browser doesn’t support HTML5

Morocco iliibuka kidedea kwa Afrika na kuleta Fahari kubwa miongoni mwa  mataifa ya Kiarabu baada ya kuongoza kundi lililokuwa na timu za Croatia, Ubelgiji na kuyaondoay mataifa mengine mawili yenye nguvu zaidi ulaya uhispania na ureno katika hatua ya mtoano, wachezaji wao waliwapa shida Wafaransa

Cha kusataajabisha bao la Theo Hernandez lilikuwa la kwanza kufungwa dhidi yao na mchezaji wa timu pinzani katika dimba hilo, endelea kusikiliza repoti hii maalum ya michuano hiyo ya Kombe la Dunia…