Mlipuko wauwa watu 21 mji mkuu wa Nigeria wa Abuja

Your browser doesn’t support HTML5

Karibu watu 21 waliuliwa Jumatano jioni katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja, na kusababisha hasara katika jengo la maduka ya biashara.