Mlipuko wa bomu ndani ya gari polisi Pangani Nairobi

Your browser doesn’t support HTML5

Mlipuko wa bomu ndani ya gari watokea ndani ya kituo cha polisi cha Pangani Nairobi, Kenya, na kusababisha vifo vya watu wanne