Mkuu wa Jeshi la DRC atembelea mji wa Kibumba kutathmini usalama
Your browser doesn’t support HTML5
Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ametembelea mji wa Kibumba ulioko kaskazini mwa mji wa Goma kutathmini hali ya vita.