Mkutano wa vijana kutoka Afrika chini ya mpango wa YALI mjini Washington DC
Your browser doesn’t support HTML5
Wiki hii tunaangazia mkutano wa vijana kutoka mataifa ya Afrika ambao wamehudhuria mkutano wa Mandela Washington Fellowship, chini ya mpango wa YALI ambao umekuwa kilele cha ziara yao ya wiki 6 hapa Marekani.