Duniani Leo : Septemba 23 : Mkutano wa UNGA waendelea New York

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaendelea New York, huku masuala mbalimbali yakitawala ikiwemo janga la COVID-19 na mabadiliko ya hali ya hewa.