Mkutano wa UN watoa wito wa kutafuta suluhu ya ukuaji wa miji na makazi
Your browser doesn’t support HTML5
Mkutano wa pili wa UN Habitat umefanyika mjini Nairobi, Kenya huku kukitolewa wito wa kutafuta suluhu ya vitendo vinavyolenga kufikia ukuaji endelevu kwa miji na makazi ya watu.