Mkutano wa nchi za Asia Kusini wafanyika wakati kuna mivutano

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa Asia Kusini kutoka nchi wanachama wa Asea wamekutana na Rais wa Korea Kusini katika mkutano wao wa mwaka unaofanyika katika mji mkuu wa Cambodia wakati kuna mivutano kwenye Rasi ya Korea.

Hivi karibuni Korea Kaskazini ilifanya majaribio kadhaa ya makombora ikidai imechokozwa na vitendo vya Marekani na Korea Kusini. Sikiliza mengi yaliyoibuka katika mkutano huo...