Mkutano wa Biden na Putin kupima uhusiano wa nchi zao

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano wa Rais wa Marekani Joe Biden na mwenzake wa Russia Vladimir Putin itakuwa fursa kwa Marekani kuweza kuona kama kuna uwezekano wa kuwepo mahusiano thaabit na Russia.