Ungana na mwandishi wetu katika mahojiano maalum na Mkurugenzi wa Precision Air Tanzania akieleza ugumu wa biashara ya huduma ya usafiri wa ndege na uelewa wa biashara hii katika nchi za Kiafrika. Endelea kumsikiliza...
Mkurugenzi wa Precision Air Tanzania aeleza ugumu wa biashara ya usafiri wa ndege
Your browser doesn’t support HTML5
Mashirika ya ndege katika baadhi ya nchi za Afrika yamekuwa yakikabiliwa na changamoto mbalimbali za uendeshaji shughuli zake.