Mkulima Kenya aeleza hasara inayoletwa na nzi wanaoharibu maembe
Your browser doesn’t support HTML5
Jinsi wakulima wanavyokabiliwa na changamoto ya kutokomeza nzi wenye kuharibu Maembe huku mkulima katika Kaunti ya Makueni akieleza anavyopeteza mavuno kwa kiwango kikubwa.