Wakulima waeleza pampu ya maji ya nishati ya jua ilivyowanyanyua

Your browser doesn’t support HTML5

Wakulima nchini Kenya waeleza jinsi mradi wa nishati salama ulivyowawezesha kutumia pampu ya nishati ya solar kusukuma maji kwa ajili ya umwagiliaji uliowaletea tija katika kilimo chao.