Mkenya awasaidia wanafunzi kijijini kujifunza kutumia kompyuta

Your browser doesn’t support HTML5

Shule ya msingi ya Zawadi Yetu yanufaika na mchango wa mwanakijiji aliyerejea nyumbani na kuanza kuwasaidia jamii yake kwa kutoa mafunzo ya kompyuta ili kusaidia kuwaelimisha vijana bado wakiwa wadogo juu ya matumizi ya teknolojia hiyo.

Amekuwa akitumia fursa hiyo kuwaandaa wataalam wa siku zijazo kani fani hiyo ya mawasiliano ya teknolojia. Endelea kusikiliza repoti kamili...