Mkenya abuni njia ya kufundisha walemavu wa kusikia
Your browser doesn’t support HTML5
Mkenya Charles Okello wa Kenya abuni njia nyepesi ya kuwafundisha watoto wenye ulemavu wa kusikia kwa kutumia app ya simu ili kusaidia kuboresha matokeo ya mafunzo yao darasani.