Mkazi wa Pretoria aeleza athari za dawa za kulevya

Your browser doesn’t support HTML5

Mkazi wa Pretoria, Afrika Kusini aeleza namna matumizi ya dawa za kulevya zilivyokuwa ni kichocheo cha kujiingiza katika vitendo vya ngono na kusababisha kupata mimba akiwa bado katika umri mdogo.