Raia wa Marekani aeleza alivyo harakisha kuondoka Afghanistan

Your browser doesn’t support HTML5

Raia wa Marekani ambaye alikwenda Afghanistan kumtembelea mzazi wake aliyekuwa mgonjwa aeleza jinsi ilivyokatiza ziara yake na hatari alizokutana nazo wakati akipambana kurudi Marekani baada ya serikali ya Afghanistan kuanguka.