Mjasiriamali : Teknolojia yaokoa maisha ya watu kipindi cha COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Mjasiriamali aeleza jinsi teknolojia ilivyo okoa maisha ya watu wakati huu wa COVID-19 baada ya watu kuigeukia kuliko wakati wowote ule kabla ya janga la corona.