Mjadala wa ulinzi wa kupiga kura wapingwa na Wademokrat 2

Your browser doesn’t support HTML5

Baraza la Seneti la Marekani lilianza kujadili ulinzi mpya wa haki za kupiga kura wiki iliyopita ingawa hatua hiyo inaonekana imekufa kutokana na maseneta Wademokrat wawili kuipinga.