Mjadala juu ya maisha ya Wangari Maathai

  • Abdushakur Aboud

Mshindi wa tunzo ya amani ya Nobel, Wangari Maathai akishiriki kwenye mjadala katika chuo kikuu cha Nairobi Marchi 2010.

Professa wangari muta maathai aliyezaliwa nyeri mwaka 1940 alikuwa mwanaharakati wakutetea haki za wanawake kulinda mazingira na mwanasiasa, alifariki tarehe 25 Septemba akiwa na umri wa miaka 71.

Professa wangari muta maathai aliyezaliwa nyeri mwaka 1940 alikuwa mwanaharakati wakutetea haki za wanawake kulinda mazingira na mwanasiasa, alifariki tarehe 25 Septemba akiwa na umri wa miaka 71.

Akitoa rambirambi rasmi za seriksali msemaji wa serikali Alfred Mutua anasema, “Profesa Wangari Maathai alitufafanulia maana ya maneno amani na mazingira, alisababisha dunia nzima kufahamu kwamba maji, miti, na ulinzi wa mazingira hutusaidia kupata amani ya kweli. Alistahiki kabisa kupokea tuzo ya Amani ya Nobel kwa sababu alitufundisha sisi sote umuhimu wa kuheshimu sayari yetu na kuheshimiana. Shauku, dhamira na mtizamo wake zimekuwa msingi wa kuigwa na mamilioni”.