Mitandao ya kijamii yafungwa Uganda kabla ya Uchaguzi Mkuu

Your browser doesn’t support HTML5

- Siku mbili kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu nchini Uganda, serikali yafunga mitandao ya kijamii nchini humo.
- Bobi Wine asema wanajeshi wamevamia nyumbani kwake.