Misri yakabiliwa na ukatili wa kingono

Your browser doesn’t support HTML5

Wanawake wapaza sauti nchini Misri kupitia mitandao ya jamii iliyopelekea kukamatwa kwa mwanaume aliyehusika na ukatili wa kingono.