Misri na Sudan wasema wako tayari kukutana tena na Ethiopia

Your browser doesn’t support HTML5

Misri na Sudan zinasema ziko tayari kuanza tena mazungumzo kuhusiana na mradi uliyo na utata wa bwawa la maji kwenye Mto wa Blue Nile baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwataka kufikia makubaliano ya haraka.