Mimba za utotoni ni tatizo sugu Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Takwimu za kitaifa Kenya zaonyesha nchi hiyo inaongezeko la zaidi ya asilimia 40 ya idadi ya wasichana ambao wako chini ya umri wa miaka 18 ambao wameathiriwa na mimba za utotoni.