Milio ya risasi yasikika katika maeneo ya Khartoum, ndege za kivita zatanda angani

Your browser doesn’t support HTML5

Milio ya risasi imesikika katika maeneo ya Khartoum wakati ndege za kivita zikiruka angani Jumanne, wakaazi wa eneo wakisema hali ikileta hofu mapigano makali huenda yakazuka na kusitisha matumaini ya kusitishwa vita.

Rasilmali ya DRC ya madini inaelezwa kuwa imenufaisha makundi mengi yenye silaha na nchi jirani.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari