Mila za Wamasai : Maandalizi ya sherehe mbadala ya kuvusha rika

Your browser doesn’t support HTML5

Jamii ya Wamasai Tanzania ilivyopokeai njia mbadala ya wasichana kuvushwa rika bila ya kutumia mila ya kupitia tohara ya kike kupitia kuelimishwa.