Mikokoteni inayotumia umeme kuleta faraja Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Wabunifu wa teknolojia nchini Kenya wameweza kutengeneza mikokoteni inayotumia nguvu za umeme unaozalishwa na mkokoteni wenyewe na hivyo itaweza kurahisisha maisha ya wasukuma mkokoteni.