Miili zaidi yagunduliwa katika makaburi ya jumla Ethiopia

Your browser doesn’t support HTML5

Darzeni ya miili yagunduliwa katika makaburi ya jumla katika mji wa HawzenEthiopia wenyeji wanadai kiasi cha makaburi 20 kwa jumla ilikuwa na miili iligundulika baada ya mapambano kadhaa kutokea.