Michuano ya Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika, BAL, yaendelea Senegal

Your browser doesn’t support HTML5

Timu ya mpira wa kikapu ya Seydou Athletic Club ya Guinea imeanza vyema michuano ya klabu bingwa barani Afrika BAL baada ya kuwabwaga timu mwenyeji Dakar University Club DUC kwa jumla ya pointi 85-70 katika mechi ya ufunguzi katika uwanja wa Dakar Arena Machi 5, 2022.