Michuano ya Kombe la Dunia 2022 kushika kasi wiki hii Qatar

Your browser doesn’t support HTML5

Michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2022 itashika kasi wiki hii huku draw ya mchangio ikifanyika Qatar siku ya Ijumaa, Aprili 1. Timu sasa zitajua hatma yao, ingawa mchakato mgumu wa kufuzu katika baadhi ya nchi na mzozo kati ya Russia na Ukraine inamaanisha washiriki wote 32 hawajaamuliwa...