Michuano ya Euro imeanza kutimua vumbi Ijumaa usiku

Your browser doesn’t support HTML5

Licha ya michuano ya Euro kuchelewa kwa zaidi ya mwaka mmoja, mechi hizo zimeanza kutimua vumbi usiku wa Ijumaa, na mtanange wa awali unazikutanisha timu za Uturuki na Italia, Mwanamichezo wetu Idd Ligongo anatusimulia zaidi...