Michezo : Timu mbili za Itali kuwa za kwanza kurejea uwanjani

Your browser doesn’t support HTML5

Klabu mbili za Itali zinakuwa za kwanza kurejea uwanjani katika fainali ya michuano ya Coppa Italia baada ya michezo ya soka kusimama kwa muda kutokana na janga la corona.