MICHEZO - Liverpool yashangilia ushindi kwa kishindo Uingereza

Your browser doesn’t support HTML5

Liverpool ambao wameibuka kidedea kuwa washindi wapya wa ligi ya Uingereza baada ya miaka 30, walishangilia ushindi huo kwa kishindo usiku wa Alhamisi.